DALILI ZA HATARI KWA MAMA MJAMZITO
.jpeg)
Rn;Yohana M.Mwazembe Cont : +255764108196 Rn;Yohana Mwazembe kutokana na changamoto na madhara yanayojitokeza kwa mama mjamzito na mtoto aliyeko tumboni hivyo mwanamke yeyote aliye katika umri wa kuweza kubeba ujauzito,baba familia na jamii kwa ujmla ni vyema kufahamu kwamba dalili na ishara za hatari kipindi cha ujauzito zinaweza kujitokeza wakati wowote usiotarajiwa. Hivyo mama mjamzito anapaswa Kufahamu dalili na ishara zote za hatari zinazoweza kujitokeza wakati wa ujauzito, Kutokana na kutofahamika ni wakati gani dalili ama ishara hizo za hatari zinaweza kujitokeza ni muhimu kufahamu mapema kabla ya kutokea ili kuweza kuchukuwa tahadhari na kufahamu ni kwa namna gani na ni wapi utaweza kupata msaada kabla ya madhara makubwa kujitokeza. Zifuatazo ni dalili na ishara za hatari kwa mama mjamzito ÷ kutokwa na Damu ...